Kiwanja kinauzwa Madale Mkoroshini, Dar Es Salaam (400 sqm)

Huduma na Sifa
Maelezo
Kiwanja kizuri Sana kinauzwa:
Kipo mtaa mzuri Sana na kina Barabara 2
Ukubwa-sqm 400
Umiliki-mauziano serikali za mtaa
Bei- ml 35 maongezi
Location - madale mkoroshin
Shule
Umbali-Mita 600 kutoka main road
Karibuni
Service charge ya kupelekwa site ni 40k
Kwa maelekezo zaidi piga sim
0682 402 327 📶
0653 267 999 📶 ya WHATSSAP















