Kiwanja kinauzwa Makumbusho, Dar Es Salaam

Makumbusho, Kinondoni, Dar Es Salaam
6 months ago
Sh. 2,500,000
Maelezo
Nafasi inapatikana maeneo ya Makumbusho karibu na kituo cha mabasi cha Makumbusho.
Eneo lina ukubwa 460sqm.
Eneo linafaa kwa biashara ya storage, depo ya vinywaaji, kiwanda kidogo cha furniture n.k.
Eneo lina fence pamoja na, umeme na maji.
Kodi 2.5 million kwa mwezi
