Tafuta

Kiwanja kinauzwa Mapinga Kimere, Pwani (1050 sqm)

video thumbnail
Mapinga, Pwani
1 hour ago
Sh. 35,000,000

Aina

Kiwanja

Residential Plot for sale in Mapinga

Ukubwa

1050 SQM

Barabara ya Karibu

3km

Huduma na Sifa

Maji
Umeme
Karibu na Barabara
Karibu na Barabara ya Lami

Maelezo

๐Ÿก KIWANJA CHA MAKAZI KINAUZWA โ€“ MAPINGA KIMERE

๐Ÿ“ Eneo: Mtaa wa Kimere, Mapinga

Unatafuta kiwanja kwa ajili ya makazi au uwekezaji? Hii ni fursa nzuri kwako!

๐Ÿ“ Ukubwa: Meta za mraba 1,050 (1,050 sqm)
๐Ÿ’ฐ Bei: TSh Milioni 35 (Inajadiliwa)

โœ… Takribani Km 5 kutoka Bunju
โœ… Takribani Km 3 kutoka Barabara Kuu ya Bagamoyo
โœ… Miundombinu ya barabara ipo vizuri
โœ… Maji na umeme vinapatikana karibu na eneo la viwanja
โœ… Eneo linafaa kwa makazi na uwekezaji wa muda mrefu

๐Ÿ“ž Kwa maelezo zaidi au kupanga kutembelea eneo, wasiliana na:

Latifa Mbonde
Real Estate Consultant
๐Ÿ“ฑ 0715 919 296

Karibu sana! Ukipata ujumbe huu, tafadhali uwashirikishe ndugu, jamaa na marafiki wanaotafuta kiwanja katika eneo la Mapinga Kimere.

#viralreelschallenge2025viralreelschallengejaiviralreelschallengeviralreelschallengechallenge #viral #realestateinvestment #everyone #trending

Matangazo yanayofanana Mapinga, Pwani

Kiwanja kinauzwa Mbweni Kiembeni Mapinga, Pwani (997 sqm)

Sh. 48,000,000

For Sale997 sqmNegotiable
  • Ardhi Iliyopimwa

  • Karibu na Barabara

  • Karibu na Bichi

Kiwanja kinauzwa Mapinga, Pwani (800 sqm)

Sh. 17,000,000

For Sale800 sqm
  • Ardhi Iliyopimwa

  • Karibu na Barabara ya Lami

  • Karibu na Shule

Kiwanja kinauzwa Mapinga, Pwani

Sh. 26,000/sqm

For SaleInstallment
  • Ardhi Iliyopimwa

Viwanja vinauzwa Mapinga, Pwani (734 sqm)

Sh. 19,000/sqm

For Sale734 sqmInstallment
  • Umeme

  • Maji

  • Ardhi Iliyopimwa

Kiwanja kinauzwa Mapinga Beach, Pwani (1249 sqm)

Sh. 38,000,000

For Sale1,249 sqmNegotiable
  • Hati

  • Karibu na Bichi

  • Site Visit Bure

Viwanja vinauzwa Mapinga, Pwani (400 sqm)

Sh. 15,000,000

For Sale400 sqmNegotiableInstallment
  • Ardhi Iliyopimwa

  • Ardhi Tambarare

  • Uzio

Viwanja vinauzwa Mapinga Shule, Pwani

Sh. 15,000,000

For SaleNegotiableInstallment
  • Ardhi Iliyopimwa

  • Ardhi Tambarare

  • Uzio