Kiwanja kinauzwa Mbezi Beach, Dar Es Salaam sqm 400

Mbezi, Dar Es Salaam
1 hour ago
Sh. 190,000,000
Ukubwa
400 SQM
Huduma na Sifa
Hati
Karibu na Barabara ya Lami
Maelezo
Kiwanja kizuri mno kinauzwa
Kiko Mbezi Beach
Goig
Upande wa chini
Kiko mtaa wa pili kutoka lami
Ukubwa wa eneo square metres 400
Bei Tshs Mil 190
Umiliki-Hati miliki safi kutoka wizara ya ardhi
0625584914















