Tafuta

Kiwanja kinauzwa Mbezi Beach, Dar Es Salaam sqm 700

video thumbnail
Sh. 350,000,000

Ukubwa

700 SQM

Huduma na Sifa

Maelezo

✨Kiwanja kizuri sana kinauzwa kinafaa sana kuwekeza apartments , hotel au nyumba yakuishi

✨Ukubwa : sqmt 700

✨Bei: million 350 (maongezi yapo)

✨Location: Mbezi Beach Upande wachini

✨Umbali kutoka lami Dakika 1

✨Documents: Hati miliki

✨Umiliki: Mmoja

🙏🏽karibu sana boss wangu fanya kazi na madalali tuonaotambulika kisheria

🙏🏽karibu kwa mawasiliano zaidi tupigie:
0654 101710
0787 205 300