Tafuta
-
-

Kiwanja kinauzwa Mbezi Beach, Dar Es Salaam sqm 891

video thumbnail
Sh. 100,000,000

Ukubwa

891 SQM

Maelezo

KIWANJA SQM.891, TSHS.100 MIL. TU,MBEZI BEACH UPANDE WA JUU.

Kipo upande wa kushoto ukielekea Bagamoyo/Mwendo mfupi kufika HOSPITALI YA MASSANA .

Ndani ya Kiwanja hiki kwa sasa kuna nyumba ya kizamani.

Panafaa sana kuweka nyumba ya kisasa ya Familia au
Nyumba ya Biashara kama Apartments nk.

NJOO MBIO, UKICHELEWA UTAPAKOSA.

________________

ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)

Tafadhali wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratatibu zangu.

+255 714 591 548

_______________ryt