Kiwanja kinauzwa Mbezi Beach Makonde, Dar Es Salaam (876 sqm)

video thumbnail
Sh. 290,000,000

Aina

Kiwanja

Ukubwa

876 SQM

Huduma na Sifa

Hati
Ardhi Tambarare

Maelezo

KIWANJA KINAUZWA – MBEZI BEACH MAKONDE

Kiwanja kizuri kinauzwa kipo Mbezi Beach Makonde, eneo tulivu na linaendelea kwa kasi.

📐 Ukubwa: SQM 876
📄 Kina HATI SAFI
💰 Bei: Milioni 290 (maongezi yapo kidogo sana)

📌 Eneo zuri kwa makazi au uwekezaji
📌 Huduma zote muhimu zipo karibu

⚠️ Muhimu:
Mwenye mali hataki kipostiwe mitandaoni, hivyo kwa picha na maelezo zaidi…

📲 Njoo WhatsApp nikutumie details kamili

🔥 Hiki si cha kukosa! Ukichelewa kinaweza kikalipiwa muda wowote.



#KiwanjaKinauzwa #MbeziBeach #Makonde #DarEsSalaamRealEstate #Uwekezaji NyumbaNaViwanja PlotForSale RealEstateTanzania HatiSafi LandForSale TanzaniaInvestment NunuaUjenge FursaYaLeo DealKali PropertyTz