Kiwanja kinauzwa Mbezi Malamba Mawili, Dar Es Salaam sqm 3200

Ukubwa
3200 SQM
Huduma na Sifa
Maelezo
Kiwanja kizuri sana na kikubwa sana kinauzwa bei milion 320, ukubwa wa eneo la kiwanja square meter 3200, eneo limepimwa na wizara ya aridhi, pia eneo lipo ndani ya fence, kutoka kituon dakika 2 hadi 4 hivi, Location mbezi malamba mawili dar es salaam
Calls/whatsapp 0768682919 au 0653233641
Service charge tsh 50000
Napatikana tabata kinyerezi mbuyuni opposit na ngekili hotel dar es salaam















