Kiwanja kinauzwa Mbezi Mpiji-Magohe, Dar Es Salaam sqm 400
Mbezi, Dar Es Salaam
18 hours ago
Sh. 11,000,000
Vyumba
1
Ukubwa
400 SQM
Huduma na Sifa
Umeme
Ardhi IliyopimwaMaelezo
KIWANJA CHENYE BANDA,SQM.400,TZS. 11 MILIONI,
KIDIMU/MBEZI MPIJI-MAGOHE.
Hapa ni Mtaa wa MKOMBOZI.
Unafika MPIJI MWISHO kwa Daladala.
Kiwanja KIMEPIMWA,
Rahisi kufuatilia mchakato wa HATI.
Kibanda kilichopo kina Chumba kimoja Masta,
Sebule na vilevile kuna Choo cha nje.
UMEME UPO.
BEI HII NI-YA DHARULA,
WAHI.
________________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratatibu zangu.
+255 714 591 548
_________________v















