Tafuta

Kiwanja kinauzwa Mbezi Msumi, Dar Es Salaam sqm 200

Sh. 8,000,000

Ukubwa

200 SQM

Maelezo

🏑 KIWANJA KINAUZWA – MBEZI MSUMI 'A' KWA BUNDALA

πŸ“ Location: Mbezi Msumi 'A' kwa BUNDALA, takribani dakika 5 kutoka stendi ya BUNDALA hadi kwenye kiwanja

βœ… Ukubwa: SQM 20 Γ— 10
βœ… Kinafaa kwa ujenzi wa nyumba ya makazi binafsi
βœ… Pia kinafaa kwa ujenzi wa apartments (nyumba za biashara)

βœ… Eneo ni zuri, limeendelea na linaendelea kukua kwa kasi

πŸ’° Bei: TSh Milioni 8 (Fixed)
πŸ“„ Nyaraka: Sales Agreement

Usikose nafasi hii ya kuwekeza katika eneo lenye maendeleo na mahitaji makubwa ya makazi.

πŸ“ž Wasiliana: +255 (0) 654 101 710 / +255 (0) 787 205 300
πŸ’° Service Charge: TSh 30,000/=

Karibu ndugu mteja, tufanye biashara.
Dalali AMANI – Miliki Kesho Yako Leo!!!