Kiwanja kinauzwa Mbezi Mwisho Makabe, Dar Es Salaam sqm 800
Vyumba
4
Ukubwa
800 SQM
Huduma na Sifa
Maelezo
Pagale zuri la Kisasa linauzwa milioni 85 maongezi kidogo yapo 📍 Lipo MBEZI MWISHO MAKABE - Dar es salaam - Tanzania
▫Vyumba Vinne vya Kulala Viwili self Conteinard
Master Bedroom
▫Sitting room
▫Dining room
◇ Kitchen
▫ Public toilet and Bathroom
▫Ukubwa wa kiwanja: sqmt 800
◇document Sales agreement (Hati ya mauziano ya selikali za mitaa)
Kiwanja kimepimwa Hati miliki itatoka kwa Jina la mteja atakae nunua
◇ Maji safi yapo umeme upo karibu kabisa
NIPIGIE O719969102
.















