Tafuta

Kiwanja kinauzwa Mikocheni A, Dar Es Salaam (400 sqm)

Sh. 330,000,000

Maelezo

Karibu ndugu mteja🙏🏾
✨Kiwanja kizuri sana kinauzwa panafaa sana kuwekeza apartments , hotel au nyumba Yakuishi

✨Ukubwa wa kiwanja: SQMT 400

✨Location: Mikochen A

✨Barabara tambalale sana kwa aina yoyote ya gari

✨Bei : Million 330 (maongezi yapo)

✨Umbali kutoka lami mita 400

✨Documents: Hati miliki

🙏🏽karibu sana boss wangu fanya kazi na madalali tuonaotambulika kisheria hepuka matapeli , ofisi zetu zinapatikana nyuma ya Skycity mall

🙏🏽karibu kwa mawasiliano zaidi tupigie:

Dalali wa Makongo,sinza, Ubungo,mikochen,mbez beach,Goba,Mbweni

abbymajumba_tz

@abbymajumba_tz

View Listings

Matangazo mengine Mikocheni, Dar Es Salaam

Dalali wa Makongo,sinza, Ubungo,mikochen,mbez beach,Goba,Mbweni