Tafuta

Kiwanja kinauzwa Mjimwema, Kigamboni, Dar Es Salaam (1350 sqm)

video thumbnail
Sh. 155,000,000

Aina

Kiwanja

Residential Plot for sale in Kigamboni

Ukubwa

1350 SQM

Barabara ya Karibu

300m

Huduma na Sifa

Hati
Karibu na Barabara ya Lami
Ardhi Iliyopimwa

Maelezo

๐ŸŒด KIWANJA KINAUZWA โ€“ KIGAMBONI, MJIMWEMA ๐ŸŒด
Fursa adhimu ya kumiliki kiwanja katika eneo la kifahari na linaloendelea kwa kasi la Kigamboni โ€“ Mjimwema.
โœ… Ukubwa: 1,350 Sqmโ€จโœ… Kimepimwaโ€จโœ… Kina Hati ya Wizara ya Ardhi
๐Ÿ’ฐ Bei: TZS Milioni 155 (Maongezi yapo.)
๐Ÿ“ Mahali kilipo:โ€จโ€ข Mita 300 kutoka barabara ya lamiโ€จโ€ข Kilomita 5 kutoka Feri ya Kigamboniโ€จโ€ข Kilomita 9 kutoka Daraja la Nyerere
๐ŸŒŸ Kiwanja hiki kinafaa kwa makazi ya kifahari, uwekezaji, au kujenga dream house yako katika eneo tulivu na lenye maendeleo makubwa.

๐Ÿ“ž0769554221
#trending #realestateagents #istagram #tanzania #trendingaudio