Kiwanja kinauzwa Mjimwema, Kigamboni, Dar Es Salaam sqm 1350

Ukubwa
1350 SQM
Barabara ya Karibu
300m
Huduma na Sifa
Maelezo
🌴 KIWANJA KINAUZWA – KIGAMBONI, MJIMWEMA 🌴
Fursa adhimu ya kumiliki kiwanja katika eneo la kifahari na linaloendelea kwa kasi la Kigamboni – Mjimwema.
✅ Ukubwa: 1,350 Sqm
✅ Kimepimwa
✅ Kina Hati ya Wizara ya Ardhi
💰 Bei: TZS Milioni 155 (Maongezi yapo.)
📍 Mahali kilipo:
• Mita 300 kutoka barabara ya lami
• Kilomita 5 kutoka Feri ya Kigamboni
• Kilomita 9 kutoka Daraja la Nyerere
🌟 Kiwanja hiki kinafaa kwa makazi ya kifahari, uwekezaji, au kujenga dream house yako katika eneo tulivu na lenye maendeleo makubwa.
📞0769554221
#trending #realestateagents #istagram #tanzania #trendingaudio















