Kiwanja kinauzwa Mkundi, Morogoro (1741 sqm)

Mkundi, Morogoro CBD, Morogoro
2 hours ago
Sh. 25,000,000
Aina
Kiwanja
Ukubwa
1741 SQM
Barabara ya Karibu
800m
Huduma na Sifa
Maji
Karibu na Barabara ya Lami
Maelezo
kiwanja hiki kimepimwa katika viwanja vya low density,
kina sqm 1741
maji tayari yameingizwa kwenye kiwanja, ukinunua unajenga Kwa maji Yako.
kipo mkundi manispaa ya Morogoro, ni mita chache kutoka lami, MITA 800 ,
bei milion 25
0652644084
Au fika ofisini kwetu Masika Kwa maelezo zaidi
