Tafuta
-
-

Kiwanja kinauzwa Mongola Ndege, Dar Es Salaam (750 sqm)

 media -1
media -1
media -2
media -3
media -4
media -5
media -6
Sh. 38,000,000

Aina

Kiwanja

Ukubwa

750 SQM

Huduma na Sifa

Karibu na Barabara

Maelezo

Kiwanja kinauzwa bei milion 38 maongezi kidogo yapo ndugu wateja wetu, eneo zuri sana na tambalale sana, barabara nzuri ya mtaa, eneo document serikari ya mtaa, square meter 750, hapa unaweza kujenga nyumba za makazi, apartments, lodge, n.k, karibuni sana wateja wetu, Location mongola ndege dar es salaam tanzania

Calls/WhatsApp
0768682919
0653233641

Service survey charge tsh 50000

Napatikana tabata kinyerezi mbuyuni opposite na ngekili hotel dar es salaam