Kiwanja kinauzwa Mtoni Kijichi, Dar Es Salaam sqm 3800

Mtoni, Dar Es Salaam
5 hours ago
Sh. 680,000,000
Ukubwa
3800 SQM
Huduma na Sifa
Maelezo
Eneo rinauzwa DSM mtoni kijichi
Sqm 3800
Rina ATI. Ya wizara
Unaweza kuwekeza apa Apatiment. Au yardi au hostery pazuri sana kwa uwekezaji
Bei milion 680 tsh



