Kiwanja kinauzwa Mvumi, Morogoro (1 acre)

 media -1
media -1
Sh. 500,000 per acre

Aina

Kiwanja

Ukubwa

1 ACRE

Barabara ya Karibu

19km

Huduma na Sifa

Karibu na Barabara ya Lami

Maelezo

Juzi juzi tu nilivyokuwa nawaambia kuna barabara ya lami ya kutoka Ntyuka kwenda Mvumi na pia itafika Kikombo mkawa mnaona ni story tu kibiashara😁😁. Anyway Chukueni maeneo huku bado yapo chini sana kibei hata milioni na laki 5 unapata heka 1 hafu kilomita 19 kutoka mjini