Kiwanja kinauzwa Pongwe Ya Uroa, Tanga (527 sqm)



Pongwe, Tanga
4 hours ago
Sh. 7,500,000
Huduma na Sifa
Maelezo
VIWANJA VIWILI VYA MAHALI PAMOJA VINAUZWA PONGWE YA UROA
#unguja #zanzibar
Umbali kutoka Viwanja Vilipo mpaka Beach/Pwani Mita 700
Umbali kutoka kiwanja vilipo mpaka Barabarani Mita 450
Ukubwa wa Kiwanja Kimoja Mita 17x31
Bei ya Kiwanja Kimoja 7,500,000/- Milioni saba na laki tano
Viwanja viwili kwa pamoja ni mita 34x31
Bei Tsh 15m
What’s App/Call
#wahadhizote
#familiabei
#mtegemeachanduguhufamaskini












