Tafuta

Kiwanja kinauzwa Tabata Bonyokwa Mwisho, Dar Es Salaam (440 sqm)

video thumbnail
Sh. 42,000,000

Maelezo

🏡✨ KIWANJA KIZURI KINAUZWA TABATA BONYOKWA MWISHO 🇹🇿 ✨🏡

Unatafuta sehemu nzuri ya kujenga makazi yako au kufanya uwekezaji wa apartments? Hiki hapa! 👇

KUONESHWA SITE 30

📍 TABATA BONYOKWA MWISHO
📐 Sqm 440
✅kiwanja kina fully Documented (pamepimwa)
✅Njoo ufunje ujenge Apartments kali
✅Tambarare kabisa
✅Kiwanja kimepimwa bado hati kutoka
✅Huduma za kijamii zipo Kama umeme,shule,masoko,
✅Neighborhood nzuri sana

💰 BEI NI 42 million Tu

Fursa nzuri kwa makazi au uwekezaji wa uhakika!
🔥

📞 Muhitaji piga: +255 744112394