Tafuta
-
-

Kiwanja kinauzwa Tabata Kinyerezi, Dar Es Salaam (600 sqm)

 media -1
media -1
media -2
media -3
media -4
media -5
media -6
Sh. 48,000,000

Aina

Kiwanja

Ukubwa

600 SQM

Huduma na Sifa

Uzio

Maelezo

Kiwanja kizuri sana kinauzwa bei 48. Ukubwa wa eneo square meter 600 hivi, pia eneo hii ya kiwanja kuna barabara 2 za mtaa hadi site ya kiwanja, pia kuna fence pande 2 tayari, hapa unaweza jenga nyumba za makazi au apartment, lodge, air bnb, n.k, kutoka kituoni kwa bodaboda sh 1000 au kutembea kwa mguu dakika 10 hadi 15 hivi, karibuni sana ndugu wateja wetu muje muwekeze hapa katika aridhi azina inayo panda samani kila siku, Location tabata kinyerezi dar es salaam

Calls/whatsapp 0653233641 au 0768682919

Service charge tsh 50000

Napatikana tabata kinyerezi mbuyuni opposite na ngekili hotel dar es salaam