Kiwanja kinauzwa Tabata Kinyerezi, Dar Es Salaam (956 sqm)


Aina
Kiwanja
Ukubwa
956 SQM
Huduma na Sifa
Maelezo
Kiwanja kizuri sana kinauzwa bei milion 90, ukubwa wa eneo la kiwanja square meter 956 hivi, eneo hii unaweza jenga nyumba za makazi, apartment, lodge, air bnb, n.k, pia eneo linatizama barabara ya mtaa, Location tabata kinyerezi dar es salaam
Calls/whatsapp 0768682919 au 0653233641
Service charge 50000
Napatikana tabata kinyerezi mbuyuni opposit na ngekil hotel dar es salaam















