Kiwanja kinauzwa Tabata Kinyerezi Kibaga, Dar Es Salaam sqm 1136


Ukubwa
1136 SQM
Huduma na Sifa
Maelezo
Kiwanja kizuri sana kinauzwa bei milion 180, ukubwa wa kiwanja square meter 1136, eneo hii ya kiwanja limepimwa tayari na hati ipo, eneo zuri sana na tambalale sana, pia kinatazama barabara ya mtaa, pia kiwanja hii ipo mtaa wa kishua sana sasa karibuni, Location ya tabata kinyerezi kibaga songas dar es salaam
Calls/Whatsapp 0768682919 au 0653233641
Service survey charge tsh 50000
Napatikana tabata kinyerezi mbuyuni opposite na ngekili hotel dar es salaam















