Tafuta

Kiwanja kinauzwa Tabata Kinyerezi Zimbili, Dar Es Salaam sqm 1200

video thumbnail
Sh. 250,000,000

Huduma na Sifa

Hati
Ardhi Tambarare
Uzio
Karibu na Barabara ya Lami

Maelezo

🏡✨ KIWANJA KIZURI CHENYE NYUMBA 2 KINAUZWA TABATA KINYEREZI ZIMBILI DAR ES SALAAM TANZANIA 🇹🇿 ✨🏡 O719969102

Unatafuta sehemu nzuri ya kujenga makazi yako au kufanya uwekezaji wa apartments? Hiki hapa! 👇

📍 Tabata Kinyerezi zimbili
📐 Sqm 1200
✅kiwanja kina fully Documented (Hati)
✅Tambarare kabisa
✅Nyumba ya kwanza ina Vyumba 2
✅Nyumba ya pili ni Chumba master na sebule
✅Kiwanja kipo ndani ya fence kina nyumba 2 Za wapangaji
✅kiwanja kinafaa kwa Apartments au makazi
✅kiwanja ni cha pili kutoka lami
✅Neighborhood nzuri sana

💰 BEI NI 250 million Tu

Fursa nzuri kwa makazi au uwekezaji wa uhakika! 🔥

📞 Muhitaji piga: O719969102