Kiwanja kinauzwa Tabata Magengeni, Dar Es Salaam sqm 800

Ukubwa
800 SQM
Barabara ya Karibu
200m
Huduma na Sifa
Maelezo
🏡 KIWANJA CHENYE NYUMBA ZA KUVUNJA KINAUZWA TABATA MAGENGENI 🏡
💰 BEI: MILIONI 250 TU
📐 Ukubwa: SQM 800
✅Kiwanja ni tambarare kabisa.
✅Kiwanja kipo MITA 200 kutoka lami
✅Kiwanja kinafaa kwa uwekezaji wowote ule hakuna changamoto.
✅Kipo katika neighbourhood nzuri na tulivu, inayofaa kwa makazi binafsi au uwekezaji.
📄 Umiliki wake ni Hati Miliki ya WIZARA ya ARDHI .
Hii ni fursa nzuri ya kumiliki kiwanja katika eneo linalokua kwa kasi.
📞 Muhitaji piga: +255 744112394
💵 Gharama ya huduma (Service Charge): 50,000/=















