Kiwanja kinauzwa Tabata Sanene, Dar Es Salaam sqm 500

Ukubwa
500 SQM
Barabara ya Karibu
1km
Maelezo
🏡 KIWANJA KINAUZWA – TABATA SANENE 🏡
Unatafuta eneo zuri la uwekezaji? Hiki ndicho chaguo sahihi!
📍 Eneo: Tabata Sanene
📐 Ukubwa: Sqm 500
🛣️ Umbali: Takribani kilomita 1 kutoka kituoni, gari linafika hadi kwenye kiwanja bila shida.
💰 Bei: TSh 18,000,000 (Fixed)
📄 Umiliki: Sales Agreement
✅ Kinafaa kwa ujenzi wa:
* Apartments
* Nyumba za biashara
* Vyumba vya kupanga (master, master na sebule, au master sebule na jiko) kwa ajili ya mapato ya kodi.
Usikose fursa hii ya kuwekeza katika eneo linalokua kwa kasi.
📞 Wahi sasa, wasiliana nasi!
💵 Service Charge: TSh 30,000
Dalali Wakishua
Miliki Kesho Yako Leo!!!















