Kiwanja kinauzwa Tabata Segerea Mwisho, Dar Es Salaam sqm 640

Ukubwa
640 SQM
Barabara ya Karibu
300m
Huduma na Sifa
Maelezo
🔥 KIWANJA KINAUZWA – TABATA SEGEREA MWISHO 🔥
📍 Location: Tabata Segerea Mwisho (Viwanja vya Benki)
🛣 Takribani mita 300 tu kutoka barabara ya lami
🚗 Gari linafika hadi eneo la kiwanja bila shida
📐 Ukubwa: SQM 640
📄 Hati Miliki ya Wizara ya Ardhi ipo
💰 Bei: Milioni 35 tu
✅ Kinafaa kwa:
🏡 Makazi binafsi
🏢 Apartments / nyumba za kupangisha
📈 Uwekezaji wa baadaye
✨ Eneo linaendelea kukua kwa kasi sana, hivyo ni nafasi nzuri kwa mwenye maono ya uwekezaji.
💼 Service charge / Gharama ya huduma: 30,000/=
📞 Muhitaji piga: +255 688 412 890
“Dalali wako Wakishua” 😎















