Tafuta
-
-

Kiwanja (Residential/Commercial) kinauzwa Buswelu Center (Mbogamboga), Mwanza (630 sqm)

video thumbnail
Sh. 65,000,000

Aina

Kiwanja (Residential/Commercial)

Ukubwa

630 SQM

Huduma na Sifa

Hati

Maelezo

KIWANJA CHA KWANZA KUTOKA LAMI KINAUZWA
-Mahali: buswelu center ( mbogamboga )
-ukubwa wa kiwanja sqm 630
-kina hati miliki ya wizara
-matumizi ya kiwanja ni makazi na biashara
-bei Tsh Milioni 65
-mazungumzo yapo

☎️ 0743 220097