Kiwanja (Residential/Commercial) kinauzwa Buswelu, Mwanza (798 sqm)

Buswelu, Mwanza
3 days ago
Sh. 35,000,000
Huduma na Sifa
Ardhi Iliyopimwa
Karibu na Barabara ya Lami
Maelezo
KIWANJA KINAUZWA BUSWELU WILAYANI
-ukubwa wa kiwanja ni sqm 798
-kiwanja kimeshapimwa tayari
-matumizi ni makazi na biashara
-kipo karibu na barabara ya lami
-bei Tsh Milioni 35
☎️ 0743 220097















