Kiwanja (Residential/Commercial) kinauzwa Jang'ombe, Zanzibar - Mjini Magharibi
Zanzibar, Zanzibar
3 hours ago
Sh. 85,000,000
Huduma na Sifa
Maelezo
Eneo la nyumba linauzwa lipo apa lofi jang'ombe laini 3 road kama unavoliona bei milioni 85.lina vyumba 8 na milango 2 ya duka njooo mezani tuongee biashara















