Kiwanja (Residential/Commercial) kinauzwa Kibaha Misugusugu, Pwani (4 acre)
Aina
Kiwanja (Residential/Commercial)
Ukubwa
4 ACRE
Barabara ya Karibu
800m — Morogoro Road
Huduma na Sifa
Maelezo
EKARI 4 ZA MAKAZI-NA-BIASHARA, TZS.870 MILIONI, KIBAHA MISUGUSUGU.
Ni umbali wa mita 800 kutoka Barabara ya Morogoro.
Ndanivya eneo Jilin kuna nyumba ya Wafanyakazi na
Banda la kufugia Kuku.
Huduma zilizopo ni pamoja na:
●Umeme
● Maji
● Kisima cha Maji.
Panafikika vizuri mizimu yote.
_______________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratatibu zangu.
_______________mpg















