Kiwanja (Residential/Commercial) kinauzwa Mtumba Mji Wa Serikali, Dodoma (567 sqm)


Mtumba, Dodoma
27 days ago
Sh. 22,000,000
Aina
Kiwanja (Residential/Commercial)
Ukubwa
567 SQM
Barabara ya Karibu
1km
Awali
Inaruhusiwa
Maelezo
Call/WhatsApp /
DODOMA , MTUMBA MJI WA SERIKALI
Kitalu DA
" kimebakia kimoja"
Ukubwa SQM 567 Makazi Biashara
Bei 22 lipia kwa mwezi 1
Anza na milion 10 inayobakia tunakupa mwezi 1
Kiwanja kipo sehemu nzuri sana
Ni mwendo wa Kms 1 adi Mji wa Serikali.
Karibuni sana.







