Kiwanja (Residential/Commercial) kinauzwa Mwarusembe, Pwani (1 acre)

Aina
Kiwanja (Residential/Commercial)
Ukubwa
1 ACRE
Barabara ya Karibu
2km
Huduma na Sifa
Maelezo
Eneo ni zuri sana kwajili ya makazi na biashara…
Linapatikana mkuranga mwarusembe
Km 2 kutoka lami
Eneo limeshika ziwa manzi kama unavyoona kwenye video.
Ukubwa ni heka moja kasoro kidogo
Bei Tsh 12.5 maongezi yapo lakini kidogo sana
Nipigie /whatsapp0785367831
📌GHARAMA YA KUTEMBELEA SITE NI TSH 30,000









