Kiwanja (Residential/Commercial) kinauzwa Tabata Kinyerezi Mwanzo Mgumu, Dar Es Salaam (270 sqm)
Tabata, Dar Es Salaam
5 hours ago
Sh. 7,000,000
Huduma na Sifa
Umeme
Karibu na BarabaraMaelezo
Kiwanja kinauzwa bei milion 7. Ukubwa wa eneo la kiwanja square meter 270. Eneo zuri sana pia kuna barabara ya mtaa ipo pia na nguzo ya umeme ipo karibu sana kama unavyo ona. Hapa unaweza jenga nyumba ya makazi pamoja na fremu kibiashara au Apartments za kupangisha na kadhalika..., Hii eneo la kiwanja lipo maeneo ya tabata kinyerezi mwanzo mgumu dar es salaam
Ndugu mteja changamuka eneo haikaiππββοΈππββοΈ
Service charge tsh 50,000/=
Contact:















