Tafuta

Nyumba (Furnished) ya vyumba viwili inauzwa Msigani, Dar Es Salaam

Sh. 265,000,000

Maelezo

NYUMBA MBILI MPYA-PAMOJA,TZS.265 MILIONI,
WAZO MSIGANI.

Kiwanja kimoja.
Nyumba ni Mpya, zinavutia na kutamanisha.

ZINAUZWA PAMOJA NA SAMANI ZAKE (Furniture)

Kila moja ina vyumba vya kulala viwili
(Kila chumba na Choo chake ndani)
Na,
Kila nyumba ina Sebule kubwa, Jiko,
Dining-room, Store na Choo cha Familia ndani.

Parking yakutosha

Mtaa tulivu, uliojengeka na Salama.
WAHI MAPEMA.

_________________

ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)

Tafadhali wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratatibu zangu.



_________________ambx

Matangazo mengine Msigani, Dar Es Salaam

Nyumba ya vyumba viwili inauzwa Tegeta Msigani, Dar Es Salaam (500 sqm)

Sh. 290,000,000

For Sale2 beds500 sqmhouse
Msigani, Dar Es Salaam
Nyumba ya vyumba viwili inauzwa Tegeta Msigani, Dar Es Salaam (500 sqm)

Sh. 290,000,000

For Sale2 beds500 sqmhouse
Msigani, Dar Es Salaam
General BROKER (*DALALI*)