Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
media -2
media -3
media -4
media -5
media -6
Sh. 200,000

Aina

Nyumba

Maelezo

APARTIMENTS KARI WAHI IMESHUKA BEI KODI NI 200,000X6
Mahali:KIMARA SUKA(Dsm🇹🇿

Umbali: 1.5KM BAJAJI 1000 BODA 1000

MUUNDO

✔️Chumba Kikubwa Master
✔️Sebule Kubwa
✔️Choo Public
✔️ Jiko Kubwa
✔️Mazingira Mazuri .
✔️Feni Ya Juu

HUDUMA
✔️Maji(Dawasa)Yapo Ndani
✔️LUKU YAKO

Ndani Ya Fensi &Parking

Paving Blocks Zinawekwa

KODI 200,000/=TZS. Kwa mwezi

Malipo ni miezi x6 Mwezi 1 wa dalali

Gharama ya kwenda Kuona Nyumba ni Tsh. 15,000/=

#0625606710🏠wahiii