Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
media -2
media -3
media -4
media -5
media -6
Sh. 300,000

Aina

Nyumba

Maelezo

300,000 x6 KIMARA SUKA BALA BALA RAFIKI KWA MAGALI HAINA ZOTE

NYUMBA INAPANGISHWA
INA JITEGEMEA UMEME NA MAJI
IPO KIMARA SUKA
UMBALI DAKIKA 6

Ndani ya fence parking kubwa sana

boda boda 1000


Chumba masta
Seble kubwa sana
Jiko kubwa
Maji yana flow
Luku yako
Tiles
Gypsum

Service charge 20,000
Kodi 300,000/=×6

Nb

Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni laki 300,000
SIMU 0659336751
WSP 0786085637