Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
media -2
media -3
media -4
media -5
Sh. 70,000

Aina

Nyumba

Maelezo

🔥 OFFER YA CHUMBA MASTER INAPANGISHWA – KIMARA SUKA 🔥

Hiki chumba kiko tayari kwa mpangaji:
✅chumba choo ndani
✅ Maji yapo
✅ wavu window
✅ umeme upo
✅ Nyumba aipo ndani ya fens

💰 Kodi: 70,000 tu kwa mwezi
🛋 Malipo: miezi 6
📍 Mahali: Kimara Suka – umbali wa km2.5 kutoka barabara kuu

📞 Wahi sasa: 0659244543