Nyumba inauzwa Buhongwa Center, Mwanza
Buhongwa, Mwanza
2 hours ago
Sh. 12,000,000
Huduma na Sifa
Maelezo
Mjengo unauzwa milioni 12 tu! Pesa faster
Mjengo upo buhongwa center jijini Mwanza
Kimbia kwenye upangaji njoo uishi kwako kwa milioni 12 tu!
Au njoo ununue na upangishe
Mjengo upo sehemu nzuri,barabara nzuri tena kubwa kabisaa ya mtaa,ni sehemu ambayo unaweza kujanga hata fremu ya biashara yaani unaishi uku unakiduka kwa nje...
Maelezo zaidi nenda whatsapp
@ourdalali_real_estate_limited















