Nyumba inauzwa Buhongwa Olympic Shell, Mwanza

Buhongwa, Nyamagana, Mwanza
3 hours ago
Sh. 47,000,000
Aina
Nyumba
Huduma na Sifa
Maji
Umeme
Hati
Maelezo
Bonge la kiwanja..
Kuna maboma mawili
Boma moja vyumba vyumba vitatu sebule jiko stoo nk
Boma lingine vyumba viwili sebule jiko stoo nk
Bei milioni 47 tu! Pesa faster
Maji tiari kashavuta hadi umeme
Pana hatimiliki kabisa
Ni buhongwa orimpic shell
Jirani na delita hotel
Maelezo zaidi nenda WhatsApp 0763 296 711
