Nyumba inauzwa Mwambene, Mbeya (700 sqm)

Mwambene, Kyela, Mbeya
1 day ago
Sh. 55,000,000
Aina
Nyumba
Ukubwa
700 SQM
Huduma na Sifa
Ardhi Iliyopimwa
Maelezo
NYUMBA YA KIZAMANI INAUZWA,
Nyumba ya kizamani nzuri inayouzwa, ipo kwenye eneo zuri sana. Inafaa zaidi kwa kubomoa na kufanya ujenzi wa kisasa au uwekezaji wa muda mrefu.
✨ Faida za eneo:
• Eneo Ukubwa Sqm 700
• Fursa ya kujenga nyumba ya kisasa
• Mazingira tulivu na salama
💰 Bei: 55m✅
📍 Mahali: Block Y-Mwambene Mbeya
Usikose fursa hii ya kipekee ya uwekezaji.
