Nyumba inauzwa Sinza, Dar Es Salaam

video thumbnail
Sh. 170,000,000

Aina

Nyumba

Maelezo

Nyumba Ya Kuhamia Inauzwa
Mahali: Sinza

Bei: Milioni 170 (Mazungumzo)

☑️Mtaa Umenyooka Sana🔥
☑️Ukubwa: Sqm288
☑️Kwasasa Ina Wapangaji
☑️Hati Imenyooka
☑️Majirani Wamenyoosha Sana🔥🙌🏻

Gharama Ya Kuoneshwa Ni 50,000/= (Inalipwa Maramoja Na Itadumu Mpaka Upate.

Office Location: Sinza Palestina (Kwa Babu Sea)

Whatsapp: 0764486945
Call: 0682699988, 0622651649, 0650659988

Viwanja Na Office Space Pia Zinapatikana Kwa Size Zote. Karibuni Sana Wateja Wangu🙏

#MasterRealEstate #MasterMijengo #DalaliMasterTz #WhereLuxuryMeetsLifestyle