Nyumba inauzwa Vianzi Vikindu, Pwani
Huduma na Sifa
Maelezo
1.) Location: vianzi -- vikindu
2.) Kiwanja feet's 40x40
3.) Kiwanja Cha nne kutoka balabala kubwa balabala ya mtaa ipo gari mpaka mlangoni.
4.) Nyumba imeisha tylz/langi/fence/geti/maji/umeme/ gharama iliyotumika TSH 35,000,000 ya mwaka (2023)
Thamani ya ujenzi wa asaivi
TSH 45,000,000
5.) Bei ninayoiuza TSH 30,000,000
Kwa ajili ya nadaiwa na baki
Mda mchache umebaki niwape pesa yao
6.) Nyumba kilometers 6 kwenda beach na kilometers 6 kwenda kilwa load mainload na kilometers 20 kwenda posta city center
7.) Dalala vikindu--kaliakoo
Dalala vikindu--kigamboni
Dalala vikindu--temeke/tandika
Dalala vikindu--kitonga
Dalala vikindu--mkulanga
8.) fursa: mita 500 kutoka kwenye nyumba wasauth Africa wanajenga kiwanda Cha mafuta ya kula!















