Tafuta

Nyumba na Apartments zinazouzwa Tabata Segerea, Dar Es Salaam

video thumbnail
Sh. 1,200,000,000

Maelezo

๐Ÿข NYUMBA ZA BIASHARA ZINAUZWA โ€“ TABATA SEGEREA

Fursa adimu kwa mwekezaji anayehitaji kipato cha uhakika kila mwezi!

๐Ÿ˜๏ธ Jumla ya nyumba: 22
๐Ÿ  Kila nyumba ina:

* Vyumba 2 (kimoja Master)
* Sebule
* Jiko
* Choo cha Public
* Maji na umeme wa kujitegemea

๐Ÿ’ต Kodi ya sasa: TSh 400,000 kwa kila nyumba kwa mwezi.

๐Ÿ“ˆ Mapato:

* Zaidi ya TSh Milioni 8 kwa mwezi
* Zaidi ya TSh Milioni 100 kwa mwaka

๐Ÿ’ก Fursa ya kuongeza mapato:
Unaweza kufanya maboresho madogo kama:

* Kufunga AC
* Kuweka makabati ya jikoni
* Kuweka paving ndani ya compound
* Kuboresha finishing

Baada ya maboresho hayo, unaweza kuongeza kodi hadi TSh 600,000โ€“700,000 kwa kila nyumba, hivyo kuongeza mapato yako kwa kiasi kikubwa.

๐Ÿ“ Eneo ni zuri, lina mahitaji makubwa ya wapangaji na thamani ya mali inaendelea kuongezeka kila mwaka.

๐Ÿ’ฐ Bei: TSh Bilioni 1.2

๐Ÿ’ฐ Service Charge: TSh 30,000/=

Hii ni fursa ya kweli kwa mwekezaji anayefikiria faida ya muda mrefu. Karibu tufanye biashara.

0746 433 854

Matangazo yanayofanana Segerea, Dar Es Salaam

Nyumba na Apartments zinazouzwa Tabata Segerea, Dar Es Salaam

Sh. 1,200,000,000

For Sale2 bedshouse
  • Maji

  • Umeme

  • Luku Inajitegemea

Nyumba ya vyumba viwili inauzwa Tabata Segerea, Dar Es Salaam

Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Tabata Segerea, Dar Es Salaam (800 sqm)

Sh. 650,000,000

For Sale4 beds4 baths800 sqmhouse
  • Hati

  • Air Conditioning

  • Parking Space

Nyumba ya vyumba viwili inauzwa Tabata Segerea, Dar Es Salaam

Sh. 160,000,000

For Sale2 bedshouse
  • Maji

  • Parking Space

  • Umeme

Nyumba ya vyumba viwili inauzwa Tabata Segerea, Dar Es Salaam

Sh. 160,000,000

For Sale2 bedshouse
  • Maji

  • Parking Space

  • Umeme

Nyumba inauzwa Tabata Segerea Chama, Dar Es Salaam (500 sqm)

Sh. 95,000,000

For Sale500 sqmhouse
  • Karibu na Barabara

Nyumba inauzwa Tabata Segerea Chama, Dar Es Salaam (500 sqm)

Sh. 95,000,000

For Sale500 sqmhouse
  • Site Visit Bure

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Tabata Segerea Chama, Dar Es Salaam (540 sqm)

Sh. 100,000,000

For Sale3 beds1 bath540 sqmhouse
  • Maji

  • Parking Space

  • Umeme

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Tabata Segerea Chama, Dar Es Salaam (540 sqm)

Sh. 100,000,000

For Sale3 beds1 bath540 sqmhouse
  • Maji

  • Parking Space

  • Umeme

Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Tabata Segerea, Dar Es Salaam (460 sqm)

Sh. 550,000,000

For Sale4 beds4 baths460 sqmhouse
  • Hati

  • Air Conditioning

  • Parking Space