Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
media -2
media -3
media -4
media -5
media -6
Sh. 400,000

Aina

Nyumba

Vyumba

1

Maelezo

INAPANGISHWA LOCATION KIMARA MWISHO DK 7
KUTOKA STEND KIMARA MWISHO PIKIPIKI ELF 1
KUPELEKWA KUONA NYUMBA ELFU 20
UKIIPENDA NYUMBA DALALI UTAMPA PESA YA MWEZI MMOJA

SIFA YA NYUMBA
___________________

vyumba vya kulala viwilli chumba kimoja ni master bedroom Sebule kubwa sana na jiko zuri ndani Inajitegemea umeme NA maji nyumba hii ipo ndani ya fensi Mazingira mazuri sana

KODI YA PANGO
_________________

kwa mwezi ni laki nne 4/=

(400,000)

X 6
CALL

CALL 0659244543