Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
media -2
media -3
media -4
media -5
media -6
Sh. 100,000

Aina

Nyumba

Vyumba

1

Maelezo

Apartiment house for rent kali nzuri sana

Location kimara suka golani km2 usafiri upo bajaji ukishuka dakika 2 upo home

Kodi 100000 kwa mwezi na dalali mwezi 1 Service charge 15000 kuona nyumba

Chumba kimoja master
Umeme mnashea 3
Maji dawasa ndani yanafloo
Paving block
Parking space
Nyumba ipo ndani ya fency

Angalizo hii nyumba itakuwa wazi tarehe 24/10/2025
kuja kuona na kulipia niruksa kabisa

dalali ubungo mbezi kimara
0785299128