Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Moshono, Arusha

Aina
Nyumba
Vyumba
1
Maelezo
Nyumba Inapangishwa Moshono Arusha
Ni Chumba Kimoja Chakulala Master
Ina Kabati Chumbani
Ina Sebule
Ina Jiko lenye Makabati
Ina Parking
Ina Heater System
Bei 250,000 Ilipwe Miezi 6
.
Contacts - 0683545452




















