Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Sinza Lego, Dar Es Salaam

Maelezo
Master moja mzur sanaaaa
@
Inapangishwa
@
Bei 220.000 kwa mwez
@
Mahali sinza lego
@
Malipo miez 6 na dalali 7
@
Ipo kwenye fensi no parkingi
@
Karibu Sanaa ofisni kwetu sinz lego
@
Gatama ya kupelekwa ni sh 30000 inalipwa Mara moja tu mpaka unapata chumba
@
Kwa mawasiliano ya sm 0756999550
@
Namba ya wasp 0659848687















