Tafuta
-
-

Nyumba ya vyumba 10 inauzwa Manzese Uzuri, Dar Es Salaam (350 sqm)

video thumbnail
Sh. 47,000,000

Aina

Nyumba

Vyumba

10

Ukubwa

350 SQM

Barabara ya Karibu

100m — Sinza/Magomeni-Kanisani

Huduma na Sifa

Karibu na Barabara ya Lami
Karibu na Shule
Site Visit Bure
Residential License

Maelezo

NYUMBA MBILI ZINAUZWA NA BANK PAMOJA,TSHS.47 MILIONI MANZESE UZURI. Hapa ni jirani na MANZESE SEKONDARI. Umbali wa mita 100 tu kutoka Barabara ya Lami ya SINZA/MAGOMENI-KANISANI kupitia TANDALE. Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 350. Umiliki ni LESENI YA MAKAZI. Nyumba moja ina Vyumba 4 vya kulala. Na nyingine ina jumla ya Vyumba 6. NI NYUMBA YA KISWAHILI, Ambayo pengine inaweza kuhitaji MABORESHO. Hatahivyo ina Wapangaji. Pazuri kwa Biashara ya kupangisha. WAHI. ______________ ANGALIZO: Malipo ya Dalali ni 10% Kuona ni Tshs.50,000. (Unalipa wewe MNUNUZI) Tafadhali wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratatibu zangu. +255 714 591 548 ______________jj

Matangazo yanayofanana Manzese, Ubungo, Dar Es Salaam

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Manzese, Dar Es Salaam (350 sqm)
  • 350sqm
  • Residential

Sh. 47,000,000

NYUMBA MBILI ZINAUZWA (MIL 47) NDANI YA ENEO MOJA MANZESE CHAKULA BORA KWA NIABA YA BANK Mawasilian...

Nyumba inauzwa Manzese Chakula Bora, Dar Es Salaam (350 sqm)
  • 350sqm
  • Residential

Sh. 47,000,000

NYUMBA MBILI ZINAUZWA (MIL 47) NDANI YA ENEO MOJA MANZESE CHAKULA BORA KWA NIABA YA BANKMawasiliano ...

Nyumba inauzwa Manzese, Dar Es Salaam

Sh. 90,000,000

💰💰💰HOUSE FOR SALENYUMBA INAUZWAA TIPTOP MANZESEBEI MILLION 90UWANJA SQMT 290 INA HATI INAFAA KUISHI ...

Nyumba inauzwa Manzese, Dar Es Salaam

Sh. 90,000,000

House for Sale Location; MANZESE BIG BROTHER Ukubwa Sqm 290HATI SAFIBei 90M maongezi yapoCall; 07162...

Tafuta unachotaka Manzese, Ubungo, Dar Es Salaam