Tafuta

Nyumba ya vyumba 6 inauzwa Goba Maghorofani, Dar Es Salaam (2100 sqm)

video thumbnail
Sh. 870,000,000

Aina

Nyumba

House for sale in Goba

Vyumba

6

6 bedroom House for sale in Goba

Ukubwa

2100 SQM

Barabara ya Karibu

2m — Kinzudi Road

Huduma na Sifa

Hati
Karibu na Barabara ya Lami

Maelezo

Nyumba kubwa ya kifahali inauzwa..

Ipo Dar es salaam. GOBA MAGHOROFANI, KINZUDI ROAD
▪︎ Nyumba ya pili kutoka lami

Nyumba ina vyumba 6, ikiwemo vyumba vitatu ni Masta.

Nyumba Ipo kwenye REINNOVATION
▪︎ Unakabiziwa nyumba safi NDANI mpaka NJE

Eneo ni SQM 2100

BEI: YZS 870 Million (Maongezi yapo)

Full Documents ✅️ Title deed ✅️

Piga Simu: 0767 891 406 // 0785 682 800

#luganoorealestateagency

Matangazo yanayofanana Goba, Dar Es Salaam

Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Goba Kwa Awadhi, Dar Es Salaam (800 sqm)

Sh. 520,000,000

  • Hati

  • Makabati

  • Karibu na Barabara ya Lami